Kutoka katika Bonde la kukata maneno KAWE, Dar es salamu, Ni yule yule MWANAMAPINDUZI Pastor MAXIMILIAM MACHUM atua katika Bonde la kukata maneno ARUSHA , Bonde la tikiswa kwa nguvu za MUNGU
 |
pastor maximilian machumu ndani ya bondela ufufuo na uzima Arusha |
maelfu ya wakazi wa Arusha wakimshangilia MUNGU na kumsifu, huku mwana mapinduzi akimwimbia Bwana Yesu wimbo wa bonde la kukata maneno
 |
MWANAMAPINDUZI ( PASTOR MAXIMILIAN MACHUMU
|
 |
MAKUTANO YA MAJESHI YA BWANA ARUSHA |
 |
maeflu ya watu ufufuo na uzima ARUSHA |
No comments:
Post a Comment