Sunday, October 19, 2014

PEPO WALIPUKA IBADA YA SIFA UFUFUO NA UZIMA ARUSHA

Ndani ya nyumba ya ufufuo na uzima ARUSHA, huku Jackson Benty na platform wakimsifu Mungu mashetani yaliyo kuwa ndani ya Dada mmoja yalipuka na Akafunguliwa hapo hapo,, halleluya Yesu atukuzwe

Dada aliyekuwa amekubwa na mashetani

Dada baada ya kufunguliwa

Maelfu katika bonde la ufufuo na uzima ARUSHA wakimchezea MUNGU

ARUSHA YA PINDULIWA CHINI JUU

Kutoka katika Bonde la kukata maneno KAWE, Dar es salamu, Ni yule yule MWANAMAPINDUZI  Pastor MAXIMILIAM MACHUM atua katika Bonde la kukata maneno ARUSHA , Bonde la tikiswa kwa nguvu za MUNGU 

pastor maximilian machumu ndani ya bondela ufufuo na uzima Arusha
                                                                                                                                                         




maelfu ya wakazi wa Arusha wakimshangilia MUNGU na kumsifu, huku mwana mapinduzi akimwimbia Bwana Yesu  wimbo wa bonde la kukata maneno



MWANAMAPINDUZI  ( PASTOR MAXIMILIAN MACHUMU
MAKUTANO YA MAJESHI YA BWANA ARUSHA


maeflu ya watu ufufuo na uzima ARUSHA