Friday, August 29, 2014

AVULIWA PETE YA JINI MAHABA NA KUVALISHWA PETE YA BWANA YESU


Pastor Frank Andrea akimfungua dada aliye vamiwa na majini mahaba na akumvalisha pete ya Bwana Yesu



Katika nyumba ya ufufuo na uzima Arusha dada aliye fahamika kwa jina la Dorisi Ahadi ambaye aliolewa kwa namna ya rohoni na mahetani( jini mahaba) afunguliwa baada ya kuombewa na Baba yetu mchungaji Frank Andrea. Dorisi anasema alianza kujiwa na mwanaume ndoto mara kwa mara, mwisho akajikuta anafunga ndoa na mtu ambaye hamjui, kumbe toka siku hiyo ndio alikuwa amevalishwa pete, mikufu na bangili za kishetani. Baba yetu akamvalisha PETE ya BWANA yesu rasmi.

No comments:

Post a Comment